Picha inaonesha wakazi wa Mbambabay makao makuu ya wilaya mpya ya Nyasa mkoani Ruvuma akiwemo huyo mtoto wa kike wakiwa wamening'nia nyuma ya gari kutoka wilayani Mbinga hadi Mbambabay umbali wa zaidi ya kilometa 90,ni hatari kwa maisha picha na maelezo na Albano Midelo

No comments:
Post a Comment