Sunday, June 5, 2011

Baadhi ya bidhaa ya maonyesho siku ya mazingira duniani kitaifa Ruvuma

Baadhi ya wananchi wa mji wa Songea wakitembelea banda la NEMC  kwenye uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea,banda hilo lilikuwa linatoa elimu ya  utunzaji wa mazingira picha na Albano Midelo.

Mtaalamu wa majiko sanifu ambaye hata hivyo jina lake halikuwza kupatikana mara moja akielezea matumizi ya jiko sanifu kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea,jiko hilo linahitaji matumizi kidogo sana ya mkaa ambao unaweza kutumika kupikia vyakula vingi picha na Albano Midelo



No comments:

Post a Comment