Mtaalamu wa mmea wa asili aina ya mlonge kutoka wilayani Tunduru mkoani Ruvuma akielezea faida za mmea hu ambao licha ya kuwa unatunza mazingira lakini pia una uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali zaidi ya 40 yakiwemo magonjwa hatari ya malaria pamoja ya magonjwa karibu yote ya tumbo picha na maelezo ya Albano Midelo
No comments:
Post a Comment