Baadhi ya wanachuo walionutunukiwa vyeti baada ya kuhitimu mafunzo yao ya awali ya kozi ya maandalizi ya shahada katika chuo kikuu huria cha Tanzania kituo cha Ruvuma picha na Albano Midelo![]()
Furaha kubwa zaidi pengine ilikuwa kwa hawa wawili amini usiamini msomaji wa tovuti hii hawa wawili ni wanandoa ambao walibahatika kwa pamoja kuhitimu mafunzo ya kozi ya maandalizi ya chuo kikuu huria cha Tanzania kituo cha Ruvuma mume anaitwa Elias Hyera na mke anaitwa Analis Mapunda kwa hakika tukio kama hili ni mara chache sana kutokea hongereni sana picha na maelezo na Albano Midelo.![]()
No comments:
Post a Comment