Osmundi Vinsent Mkinga mwanachuo bora kutoka chuo kikuu huria cha Tanzania kituo cha Ruvuma ambaye ni kioo cha chuo hicho baada ya kuongoza kwa kufanya vizuri kushinda wanachuo wengine mwaka jana.Mwanachuo huyo hivi sasa anasoma shahada ya pili OUT Ruvuma ambapo mkurugenzi wa chuo kikuu huria kituo cha Ruvuma Gubwe Kalalambe amethibitisha uwezo wa juu wa mwanachuo huyo na kwamba kutokana na kufaulu vizuri shahada yake ya ualimu anaweza kwenda kufundisha chuo kikuu chochote kikiwemo chuo kikuu huria cha Tanzania.Picha na maelezo na Albano Midelo![]()
No comments:
Post a Comment