Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Sunday, July 3, 2011
TMF yaanza kuwapika walioshinda Fellowship mwaka huu ,hawa hapa
Waandishi wa habari watano ambao wameshinda katika Fellowship mwaka huu wakiwa katika mafunzo ya on line Journalism kwa ajili ya uandishi wa habari za kisasa yaani New media Journalism,mafunzo ambayo yamefanyika kwa wiki moja jiji Dar es salaam kutoka kushoto ni mhariri wa gazeti la Mwanasipoti Daniel Mbega,Latifa Ganzel mwandishi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo,Albano Midelo mwandishi wa gazeti la Kiongozi na Mariam Talib wa gazeti la Zanzibar Leo,Editha Karlo gazeti la Mtanzania.
pIcha hii pia inawaonesha washindi hao wakifurahi baada ya kumaliza mafunzo ya wiki moja katika on line Journalism na New Media jijini Dar es salaam picha zote na maelezo na Albano Midelo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment