Maendeleo ni Vita
Pages
Makala za uchunguzi
Makala za utalii
Makala za Elimu
Makala za mazingira
Makala za kijamii
Habari katika picha
Tuesday, July 5, 2011
Mbunge mstaafu wa Bunge la Afrika mashariki uso kwa uso na wanahabari
Picha inamuinesha mbunge mstaafu wa Bunge la Afrika mashariki mheshimiwa Balozi Juma Mwampachu akizungumza na wanahabari nje ya ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam mara baada ya kuzindua utafiti kuhusu elimu ya msingi ulifanywa na asasi siyokuwa ya kiserikali inayoitwa UWEZO ambayo ilifanya utafiti katika nchi za Afrika mashariki ambako Kenya iliongoza kwa kufanya vizuri katika uboreshaji wa elimu .
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment