Mwandishi wa habari za utalii Awamu Robinson akiwa ndani ya Mkwawa Magic Site iliyopo Mtwivira manispaa ya Iringa ambayo imesheheni vivutio lukuki vya utalii.Mkwawa Magic Site imeanzishwa mwaka mmoja uliopita ni kimbilio la watanzania wote hasa wale wanyonge ambao hawana uwezo wa kutembelea kwenye mbuga za Taifa ambazo zipo mbali.
Hawa ni ndege maarufu aina ya mbuni wenye uzito wa kilo 140 wakiwa ndani ya Mkwawa Magic Site Iringa,ndege hawa ni miongoni mwa vivutio adimu ndani ya zoo hiyo,una kila sababu ya kufika mahali hapa .
No comments:
Post a Comment