Monday, December 9, 2013

Ibada ya Mandela inafanyika hapa

Maelfu ya wakazi wa nchini Afrika ya kusini na wageni kutoka nje ya nchi hiyo wanapata fursa adimu ya kumuaga mpendwa wao mzee Nelson Mandela ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.Mandela anatarajiwa kuagwa na marais zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani.Nyuma yangu ndiyo uwanjwa unaoitwa Socer City Stadium uliopo nje kidogo  ya jiji la Johananesburg ambayo una uwezo wa kuchukua watu zaidi ya 95,000 kwa wakati mmoja,uwanja huu ni miongoni mwa viwanja vilivyotumika kwenye michezo ya kombe la dunia nchini Afrika ya kusini mwaka 2010.

Uwanja wa Socer City Stadium unaovyoonekana kwa karibu

Uwanja wa Socer City Stadium unavyooneka kwa juu (Picha na maelezo yote ya picha zote tatu yametolewa  na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment