Monday, December 9, 2013

Mandela pumzika salama

Nelson Mandela ni taa iliyozima ghafla duniani na kuacha giza nene,mzee Mandela atakumbuka kwa mema mengi aliyoyafanya hapa duniani hasa kumaliza ubaguzi wa rangi ambao ulisababisha mauaji ya watu wengi weusi, pumzika salama baba,tunatumaini roho yako ipo mahali pema peponi amini.

Hapa ni familia ya mzee Nelson Mandela enzi za uhai wake

Hii ni nyumba ya zamani ya mzee Mandela iliyopo SOWETO nchini Afrika ya kusini ambayo sasa ni makumbusho ya Taifa  ya Mandela,makumbusho hii inawavutia wengi wanaotembelea hapo kutokana na kusheheni vitu muhimu vya  Mzee Nelson Mandela

Hii ni nyumba ya mzee Nelson Mandela iliyopo katika jiji la Johanaesburg nchini Afrika ya kusini,mzee Mandela alikuwa anaishi katika nyumba hii na hata kifo chake kimetokea katika nyumba hii(Picha zote na maelezo na Albano Midelo

No comments:

Post a Comment