Pichani ni katika kijiji cha Qunu kilichopo jimbo la Cape ya Mashariki nchini Afrika ya kusini.Kijji hicho ndipo mazishi ya mzee Nelson Mandela yalifanyika
na kuwashirikisha watu takriban 4500 wakiwemo ndugu wa karibu pamoja na viongozi na watu mashuhuru ulimwenguni akiwa Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.Inaelezwa mazishi hayo yanafananishwa na yale ya Papa mtakatifu Yohane Paulo (Maelezo na Albano Midelo)

No comments:
Post a Comment