Sunday, January 31, 2016

KITABU CHA KWANZA TANZANIA CHA SEKTA YA GESI ASILIA NA MAFUTA

Kitabu kipya cha kwanza Tanzania katika sekta ya gesi asilia na mafuta ambacho kinaelezea fursa ambazo watanzania tunaweza kuzipata katika sekta ya gesi asilia na mafuta chenye kurasa 130 kimetoka tangu mwezi Desemba 2015.Hakikisha familia yako inapata nakala moja ya kitabu hiki ambacho ndiyo habari ya mjini hivi sasa kutokana na umuhimu wa sekta mpya ya gesi na mafuta katika Afrika mashariki,kati na kusini. kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa simu 0784765917 au 0763885442, barua pepe albano.midelo@gmail.com

No comments:

Post a Comment