Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi
Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo askari wa Usalama barabarani ambaye
alitukanwa na Mke wa Waziri wakati akitekeleza majukumu yake ya kikazi.
Rais ameyasema hayo wakati akifungua Kikao cha Makamanda wa Polisi wa Mikoa. Aidha Rais Dr. Magufuli ameshamuonya Waziri huo ambaye mke wake amemtukana askari wa Usalama Barabarani.Rais amesema hakuna kiongozi au familia ya kiongozi iliyoko juu ya sheria.
http://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-askari-wa-usalama-barabarani-aliyetukanwa-na-mke-wa-waziri-apandishwe-cheo.1

No comments:
Post a Comment