Wanyama wengi wanakufa na kuangamia
Tangazo lililochapishwa katika jarida la serikali nchini Zimbabwe
limetoa wito kwa mtu yeyote atakeweza kununua wanyama pori wanaopatikana
katika mbuga za wanyama za serikali ajitokeze.
Tangazo hilo na uamuzi wa kuuzwa kwa wanyama pori nchini Zimbabwe
umechukuliwa kutokana na ukame ambao umekumba Zimbambwe.
Emmanuel Fundira ambae ni msimamizi
mkuu wa shirika linalohusika na safari za watalii
katika mbuga za
wanyama amefahamisha kuwa wanyama ambao wanaathirika ka ukame huo ni
punda milia na tembo.
Ukame huo nchini Zimbabwe umetokana na
ukosefu
wa mvua katika maeneo tofauti na kusababisha ukosefu wa maj ina majani.
wa mvua katika maeneo tofauti na kusababisha ukosefu wa maj ina majani.
http://www.trt.net.tr/swahili/afrika/2016/05/08/zimbabwe-yauza-wanyama-pori-kutokana-na-ukame-485712

No comments:
Post a Comment